Tunaweka na kutunza mifumo ya maji ya moto, mifereji (drainage), mabwawa ya kuogelea, na biodigester septic tank โ kwa nyumba binafsi, shule, hoteli na viwandani.
Tunabuni, kusakinisha na kutunza mifumo ya maji kwa viwango vya juu vya ubora na usalama.
Ufungaji wa maji ya moto kwa nyumba, shule na hoteli โ salama, imara na yenye ufanisi.
Usanifu na usakinishaji wa mifumo ya maji taka na maji ya mvua kwa ufanisi wa juu.
Ujenzi, pampu, filtration na matengenezo ya mabwawa ya kuogelea.
Mfumo rafiki wa mazingira unaopunguza harufu na gharama za uondoaji taka.
Huduma za dharura, ukaguzi na matengenezo ya mara kwa mara.
Miradi ya viwandani na taasisi โ timu iliyozoea kazi za kiwango kikubwa.
Tunahudumia nyumba binafsi, shule, hoteli na viwandani. Tupigie sasa kupata makadirio ya haraka.
Pata MakadirioHaruni Justin Plumbing Services ni kampuni ya Zanzibar inayotoa huduma kamili za plumbing. Tunathamini ubora, uadilifu, ubunifu na huduma kwa mteja โ tukileta suluhu zinazodumu na rafiki kwa mazingira.
Jaza fomu na timu yetu itakujibu haraka. Unaweza pia kutupata WhatsApp/Simu: +255 778 767 219